

Lugha Nyingine
Pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" limepita miaka kumi: Barabara zimeunganishwa na uzuri umechangiwa na Dunia (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 28, 2023
• Treni ya mizigo ya China-Ulaya
Tarehe 8 Juni 2016, Shirika la Reli la China lilizindua rasmi chapa ya pamoja ya treni za China-Ulaya.
Katika miaka 10 iliyopita, treni jumla ya 81,000 za mizigo kati ya China na Ulaya zimeendeshwa, zikisafiri umbali wa zaidi ya kilomita milioni 700, kusafirisha kontena zaidi ya milioni 7.6 za bidhaa zenye thamani ya dola zaidi ya bilioni 340 za Marekani.
Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, ufanisi wa uidhinishaji vibali vya forodha wa treni za China-Ulaya pia umeendelea kuboreshwa. Muda wa kuidhinisha kibali cha forodha umefupishwa kutoka saa 27 za awali hadi saa 10.9 za sasa
Hivi sasa treni za China-Ulaya zimefikia miji 217 katika nchi 25 za Ulaya.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma