

Lugha Nyingine
Pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" limepita miaka kumi: Barabara zimeunganishwa na uzuri umechangiwa na Dunia (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 28, 2023
Madaraja ya kuvuka bahari yaunganisha mioyo
• Daraja la Urafiki wa China-Maldives
Agosti 30, 2018, daraja hili lilikamilika na kufunguliwa rasmi kwa matumizi ya umma.
Hili ni daraja la kwanza la kisasa nchini Maldives na daraja la kwanza la kuvuka bahari katika Bahari ya Hindi.
Daraja hilo limebeba mamia ya mamilioni ya abiria, na mzunguko wa maisha na wakazi yameboreshwa.
Wenyeji na watalii wanaotembelea Maldives wanaweza kusafiri kati ya Kisiwa cha Maldives na Kiwanja cha Ndege ndani ya dakika 5 kupitia daraja.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma