

Lugha Nyingine
Pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" limepita miaka kumi: Barabara zimeunganishwa na uzuri umechangiwa na Dunia (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 28, 2023
Angani - " Njia ya hariri ya Angani" inakuwa na msongamano zaidi
• “Njia ya Hariri ya Angani” ya Zhengzhou-Luxembourg
Juni 15, 2014, njia ya kimataifa ya ndege za mizigo kutoka Zhengzhou hadi Luxemburg ilifunguliwa, na kuanzisha "Njia ya Hariri ya Angani" kwa ajili ya ndege za mizigo kote China na Ulaya.
Biashara ya bidhaa ya "Njia ya Hariri ya Angani" ya Zhengzhou-Luxembourg imefikia miji zaidi ya 200 katika nchi 24 za Ulaya na kuenea katika miji zaidi ya 90 nchini China.
Hadi kufikia Septemba 20, 2023, usafiri wa ndege jumla ya 6,062 ulifanyika kwenye njia maalum ya ndege za mizigo ya Zhengzhou , na kuchangia usafirishaji wa mizigo ya tani zaidi ya milioni 1.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma