Pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" limepita miaka kumi: Barabara zimeunganishwa na uzuri umechangiwa na Dunia (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 28, 2023

孟加拉帕德玛大桥

• Daraja la Padma, Bangladesh

Lilifunguliwa rasmi kwa matumizi ya umma Juni 25, 2022.

Linaitwa "Daraja la Ndoto" na watu wa Bangladesh.

Wilaya ishirini na moja kusini magharibi mwa Bangladesh zimeunganishwa na mji mkuu Dhaka, na muda wa awali wa kuvuka wa saa saba hadi nane umeweza kufupishwa hadi dakika 10.

Daraja limeleta ukuaji wa Pato la Taifa wa takriban 1.5% kwa Bangladesh, na kunufaisha watu zaidi ya milioni 80.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha