

Lugha Nyingine
Pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" limepita miaka kumi: Barabara zimeunganishwa na uzuri umechangiwa na Dunia (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 28, 2023
• Reli ya Addis Ababa-Djibouti
Oktoba 5, 2016, ilikamilishwa na kufunguliwa rasmi kwa matumizi ya umma.
Imeanza rasmi kuendeshwa kibiashara Januari 1, 2018. Ni Reli ya kwanza inayotumia umeme kujengwa na China barani Afrika na reli ya kwanza ya kuunganisha nchi mbalimbali inayotumia umeme barani Afrika, yote yanatumia vigezo na vifaa vya China.
Wakati wa ujenzi na uendeshaji wa mradi huo, ajira zaidi ya 50,000 kwa wenyeji zilitolewa na wafanyakazi zaidi ya 3,000 wa taaluma na ufundi wa reli walipewa mafunzo. Madereva wa treni wenyeji jumla ya 107 wamepatiwa mafunzo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma