

Lugha Nyingine
Shughuli za kuadhimisha Siku ya Mazingira ya Dunia zafanyika sehemu mbalimbali nchini China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 05, 2025
![]() |
Picha hii iliyopigwa kwa droni tarehe 4 Juni, 2025 ikionyesha watu wa kujitolea wakikusanya taka kando ya mto katika Mji wa Zunhua, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China. (Picha na Liu Mancang/Xinhua) |
Kabla ya kuwadia kwa Siku ya Mazingira ya Dunia, shughuli za kuadhimisha siku hii zimefanyika katika sehemu mbalimbali nchini China ili kuongeza uelewa wa watu juu ya ulinzi wa mazingira.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma