

Lugha Nyingine
Shughuli za kuadhimisha Siku ya Mazingira ya Dunia zafanyika sehemu mbalimbali nchini China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 05, 2025
![]() |
Watu wa kujitolea wakiokota taka zinazoelea juu ya maji katika Bustani ya Wilaya ya Boxing ya Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, tarehe 3 Juni 2025. (Picha na Chen Bin/Xinhua) |
Kabla ya kuwadia kwa Siku ya Mazingira ya Dunia, shughuli za kuadhimisha siku hii zimefanyika katika sehemu mbalimbali nchini China ili kuongeza uelewa wa watu juu ya ulinzi wa mazingira.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma