Viwanda na kampuni kote China zaanza tena kazi baada ya mapumziko ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 25, 2026
Viwanda na kampuni kote China zaanza tena kazi baada ya mapumziko ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi
Wafanyakazi wakifanya kazi kwenye mstari wa ujazaji dawa za kuulia magugu wa kampuni moja katika Eneo la Suiyang la Mji wa Shangqiu, Mkoa wa Henan, katikati mwa China, Februari 24, 2026. (Picha na Li Heng/Xinhua)

Viwanda na kampuni kote China zimeanza tena kufanya kazi jana Jumanne baada ya mapumziko ya siku tisa ya wakati wa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi iliyoisha juzi Jumatatu, Februari 23.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha