Viwanda na kampuni kote China zaanza tena kazi baada ya mapumziko ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 25, 2026
Viwanda na kampuni kote China zaanza tena kazi baada ya mapumziko ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi
Mfanyakazi akifanya kazi kwenye karakana ya kiwanda cha bia katika Wilaya ya Helan ya Mji wa Yinchuan, Mkoa wa Unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia, kaskazini magharibi mwa China, Februari 24, 2026. (Xinhua/Yang Zhisen)

Viwanda na kampuni kote China zimeanza tena kufanya kazi jana Jumanne baada ya mapumziko ya siku tisa ya wakati wa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi iliyoisha juzi Jumatatu, Februari 23.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha