Lugha Nyingine
Viwanda na kampuni kote China zaanza tena kazi baada ya mapumziko ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 25, 2026
![]() |
| Mfanyakazi akifanya kazi kwenye karakana ya kampuni ya miundo ya chuma cha pua ya Meishan, Mkoa wa Sichuan, kusini magharibi mwa China, Februari 24, 2026. (Picha na Weng Guangjian/Xinhua) |
Viwanda na kampuni kote China zimeanza tena kufanya kazi jana Jumanne baada ya mapumziko ya siku tisa ya wakati wa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi iliyoisha juzi Jumatatu, Februari 23.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




