Viwanda na kampuni kote China zaanza tena kazi baada ya mapumziko ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 25, 2026
Viwanda na kampuni kote China zaanza tena kazi baada ya mapumziko ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi
Picha hii iliyopigwa Februari 24, 2026 ikionyesha jukwaa la mafuta na gesi la baharini kwenye Eneo la Mradi wa Mafuta wa Bohai. (Picha na Du Penghui/Xinhua)

Viwanda na kampuni kote China zimeanza tena kufanya kazi jana Jumanne baada ya mapumziko ya siku tisa ya wakati wa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi iliyoisha juzi Jumatatu, Februari 23.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha