Viwanda na kampuni kote China zaanza tena kazi baada ya mapumziko ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 25, 2026
Viwanda na kampuni kote China zaanza tena kazi baada ya mapumziko ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi
Wafanyakazi wakifanya kazi kwenye kiwanda cha glasi katika Wilaya ya Renshou ya Mji wa Meishan, Mkoa wa Sichuan, kusini magharibi mwa China, Februari 24, 2026. (Picha na Pan Jianyong/Xinhua)

Viwanda na kampuni kote China zimeanza tena kufanya kazi jana Jumanne baada ya mapumziko ya siku tisa ya wakati wa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi iliyoisha juzi Jumatatu, Februari 23.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha