Viwanda na kampuni kote China zaanza tena kazi baada ya mapumziko ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 25, 2026
Viwanda na kampuni kote China zaanza tena kazi baada ya mapumziko ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi
Mfanyakazi akidhibiti vifaa vya kumimina chuma kilichoyeyushwa kwenye kampuni ya kuunda mashine katika Wilaya ya Jinhu ya Mji wa Huai'an, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Februari 24, 2026. (Picha na Liang Debin/Xinhua)

Viwanda na kampuni kote China zimeanza tena kufanya kazi jana Jumanne baada ya mapumziko ya siku tisa ya wakati wa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi iliyoisha juzi Jumatatu, Februari 23.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha