Lugha Nyingine
Viwanda na kampuni kote China zaanza tena kazi baada ya mapumziko ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 25, 2026
![]() |
| Mfanyakazi akifanya kazi kwenye kiwanda cha kutengeneza mifuko iliyosokotwa katika Eneo la Lianyun la Mji wa Lianyungang, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Februari 24, 2026. (Picha na Wang Chun/Xinhua) |
Viwanda na kampuni kote China zimeanza tena kufanya kazi jana Jumanne baada ya mapumziko ya siku tisa ya wakati wa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi iliyoisha juzi Jumatatu, Februari 23.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




