(Picha inatoka tovuti ya Xinhua) Tarehe Juni 24, watazamaji wametembelea maonesho yanayofanyika kwenye ukumbi wa Kampuni ya Tatu ya Ujenzi ya China katika eneo la ujenzi wa mradi wa kwanza la Kituo cha Maonyesho cha Kitaifa (Tianjin). Siku hiyo, Kituo cha Maonyesho cha Kitaifa (Tianjin) kilifanya maonyesho yake ya kwanza -- Mkutano wa sayansi ya ujenzi wa China, na Maonyesho ya majengo ya teknolojia ya akili bandia bila uchafuzi. Maonyesho hayo yaliendelea hadi Juni 27. Maonyesho hayo yaki
Uzoefu mdogo wa kujihisi urithi wa utamaduni usioshikika katika kituo cha wanahabari cha Mkutano wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai 2025 mjini Tianjin
Maua yapamba mji wa Beijing kabla ya gwaride la siku ya ushindi
Maonyesho ya kuadhimisha miaka 80 ya ushindi wa vita dhidi ya uvamizi wa Wajapan, na ushindi wa kupinga ufashisti yafunguliwa Beijing
Daraja refu zaidi duniani laanza kufanyiwa majaribio ya kupitishwa mzigo huko Guizhou kusini magharibi mwa China
Uzuri wa Majira: Xiaoman
Simulizi kuhusu urithi wa kale--Nguo Sehemu ya Kwanza
Mchanuo wa Maua ya Rapa yenye Rangi ya Dhahabu Wachochea Utalii wa Wilaya ya Tongzi, China
Uzuri wa Majira: Kipindi cha Chunfen
Uzuri wa Majira: Kuamka kwa Wadudu