Tarehe 22, Juni, waziri wa utamaduni wa Misri Abdel Daim alitangaza, Maonyesho ya 52 ya Vitabu ya Kimataifa ya Cairo yatafanika kuanzia Juni 30 hadi Julai 15, na kauli mbiu ya maonyesho hayo ni "Kusoma ndiyo maisha".
(Picha inatoka tovuti ya Xinhua) Tarehe Juni 24, watazamaji wametembelea maonesho yanayofanyika kwenye ukumbi wa Kampuni ya Tatu ya Ujenzi ya China katika eneo la ujenzi wa mradi wa kwanza la Kituo cha Maonyesho cha Kitaifa (Tianjin). Siku hiyo, Kituo cha Maonyesho cha Kitaifa (Tianjin) kilifanya maonyesho yake ya kwanza -- Mkutano wa sayansi ya ujenzi wa China, na Maonyesho ya majengo ya teknolojia ya akili bandia bila uchafuzi. Maonyesho hayo yaliendelea hadi Juni 27. Maonyesho hayo yaki
Goli la Torres katika dakika za mwisho laipa Hispania ubingwa wa Kombe la Dunia
Soko la usiku la Xishuangbanna mkoani Yunnan, China lashuhudia ongezeko kubwa la watalii
Mkoa wa Fujian wajitokeza ukiwa kitovu kikuu muhimu cha nishati safi kusini mwa China
Reli ya SGR ya Kenya yashuhudia ongezeko la mizigo baada ya kuanza kwa sera ya ushuru-sifuri ya China
Profesa Mchina aliyekwenda kuhudumu katika maeneo ya vijijini ya Beijing
Kijana wa Marekani ajionea jukwaa la mtindo la kijijini
Vijana wa Kisiwa cha Gulangyu waandamana na ushairi
Jalidi kwenye kope zao: Kulinda usalama katika 'mji wa baridi zaidi' wa China
Mohe, 'Ncha ya Kaskazini' mwa China: Maji yanayomwagwa ghafla hubadilika kuwa barafu