人民网首页

Mafanikio ya Michezo ya Olimpiki na Paralimpiki ya Majira ya baridi ya Beijing yanadhihirisha moyo wa jumuiya yenye mustakabali wa pamoja wa binadamu - wataalam

Wakati Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Walemavu ya Beijing 2022 ilipofungwa hapa Beijing Jumapili ya wiki iliyopita, China imetimiza ahadi yake kwa Dunia, na kutoa mchango mpya kwa malengo ya kimataifa ya Olimpiki.

Rais Xi Jinping wa China akipunga mkono katika sherehe ya ufungaji wa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 kwenye Uwanja wa Taifa wa Beijing, Machi 13, 2022. (Xinhua/Xie Huanchi)

Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Walemavu ya Beijing yafungwa

Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Walemavu ya Beijing imefungwa jana usiku katika Uwanja wa michezo wa Taifa mjini Beijing, na rais Xi Jinping wa China na rais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki ya Walemavu, Andrew Parsons wameshiriki kwenye sherehe ya ufungaji wa michezo hiyo. Katika siku 9 zilizopita, wanamichezo karibu 600 kutoka nchi na sehemu 46 wameshindana kwenye uwanja wa michezo na kuonyesha moyo wa kujitegemea na kujiendeleza.…

Andrew Parsons, Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu (IPC), akihutubia ufungaji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Walemavu ya Beijing 2022 kwenye Uwanja wa Taifa wa Beijing, Mji Mkuu wa China, Machi 13, 2022. (Xinhua/Wu Zhuang)

Rais wa IPC atangaza kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Walemavu ya Beijing

Andrew Parsons, Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu (IPC), akihutubia ufungaji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Walemavu ya Beijing 2022 kwenye Uwanja wa Taifa wa Beijing, Mji Mkuu wa China, Machi 13, 2022. (Xinhua/Wu Zhuang) BEIJING - Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Paralimpiki (IPC) Andrew Parsons Jana Jumapili jioni ametangaza kufungwa rasmi kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Walemavu ya Beijing 2022.…

(Picha ilipigwa na Weng Qiyu/People's Daily Online)

Timu ya China yashinda nafasi tatu za mbele za mchezo wa kuteleza kwenye theluji kwa ubao kwa wanaume katika Michezo ya Paralimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing

Tarehe 7, Machi, fainali ya mchezo wa mbio za kuteleza kwenye theluji kwa ubao na kupita vizuizi wa kiwango cha UL ilifanyika. Mwishowe mwanamchezo wa Timu ya China Ji Lijia alinyakua ubingwa, Wang Pengyao alipata nafasi ya pili, na Zhu Yonggang alipata nafasi ya tatu.…

Mchezaji wa Timu ya China Zheng Peng (kushoto) na mwenzake Mao Zhongwu walipata medali ya dhahabu na ya fedha katika mchezo wa mbio za nyika za kuteleza kwenye theluji kwa kukaa kwa wanaume kwenye Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing Machi 9. (Xinhua/ Mpiga picha:Li Bo)

Timu ya China yapata medali mbili za dhahabu tena kwenye Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi

Machi 9, Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ilifikia siku yake ya tano ya mashindano. Kwenye mashindano ya mbio za nyika za kuteleza kwenye theluji kwa kutumia magongo (kwa kukaa) ya michezo hiyo ya Olimpiki, Zheng Peng na Yang Hongqiong walishinda medali za dhahabu kwa Mbio za nyika za kuteleza kwenye theluji kwa kukaa kwa wanaume na kwa wanawake.…

Teknolojia

Dondoo Muhimu

Habari za picha